Friday, July 3, 2015

 Msanii wa kizazi kipya Ambwene Yesaya ameamua kuwekeza kwenye kipindi cha runinga kiitwacho Mkasi ikiwa ni mwendelezo baada ya kusimama kwa muda mrefu.Mwanamziki huyo aliwekeza kwenye kolabo na wasanii wakubwa kama Sean Kingstone na Lil Romeo bila mafanikio nakuamua kugeukia tasnia ya vipindi vya runinga.

0 comments:

Post a Comment