Katika hali isiyo ya kawaida mume wa Zari the boss lady anayeitwa Ivan amempigia debe mgombea Edward Lowasa.Ingawa jamaa ni mganda anayeishi nchini South Africa.Kama ilivyo ada baada ya debe ilo watanzania walimiminika kwenye ukurasa wa Mganda huyo nakuanza mabishano na maneno yasiyo natija.
0 comments:
Post a Comment