Monday, July 20, 2015

Wakati mashabiki wa soka wakisubiri kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu England Agosti 8 mwaka huu, tayari vituko vimeanza kutokea.
Shabiki mmoja wa kike wa Tottenham ame-share picha kwenye mitandao ya kijamii wikiendi hii akionesha Tattoo aliyochora sehemu ya tako yenye nembo ya Spurs.
Akiwa katika matembezi yake nje ya uwanja wa Arsenal wa Emirates, shabiki huyo wa Spurs alifunua nguo zake na kuonesha tako hadharani  

0 comments:

Post a Comment