Historia imejirudia tena mtu wangu, Diamond Platnumz
jana katangazwa Mshindi wa Tuzo moja ya MTV MAMA 2015 Category ya Best
Live Act, hajachelewa kurudisha Tuzo home.. tayari kaingia Dar es Salaam
na hata kabla hajafika Uwanja wa Ndege kulikuwa na Kundi kubwa la watu
waliofurika wakiimba muda wote na kushangilia Uwanja wa Ndege wa Julius
Nyerere International Airport.
November
2014 staa wa Muziki Tanzania, Diamond Platnumz alitua Dar mchana kabisa
akiwa na Tuzo zake tatu mkononi kutoka South Africa ambako alishinda
Tuzo za Channel O... Mapokezi yalikuwa makubwa sana kwenye mitaa ya Dar
es Salaam.
0 comments:
Post a Comment