Posted by Williammalecela.com on Thursday, July 16, 2015
Iddi Azan mbunge wa jimbo la Kinondoni amechukua fomu ya ubunge kutetea kiti chake.Steve Nyerere alitangaza kuchukua fomu ya jimbo hilo la Kinondoni kwa chama cha CCM hivyo ushindani wa kumteua mgombea ndani ya CCM kuwa wa ushindani.
0 comments:
Post a Comment