Thursday, July 16, 2015

Aliyekuwa M/kiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck akipokea kadi ya uanachama ACT Wazalendo.Mapema wiki hii mbunge wa kasulu Moses Machali alihamia chama hicho pia.

0 comments:

Post a Comment