Thursday, July 9, 2015

Humphrey Polepole mwanaharakati na mdau wa maendeleo aliyeshiriki tume ya kutunga katiba ameahidi kuisaliti CCM live endapo watampitisha mgombea mwenye madoa ndani ya chama hicho kugombea urais.Mchakato wa katiba ulikuwa na makosa mia moja aliongea waziwazi watu wasipigie kura rasimu hiyo.Kwa mara nyingine anajitosa kusema CCM isipigiwe kura endapo watu hao watapitishwa.Katika mahojiano yake mbalimbali alimtaja Edward Lowasa na Bernard Membe wapishe mchakato huo.

0 comments:

Post a Comment