KUMKOMELA NYANI GILADI
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na waziri mkuu mstaafu Fredirick Sumaye mapema leo huku akipotezea mawasiliano ya macho na kiongozi huyo aliyechukua fomu ya urais,Muda huu jioni atawekwa kwenye kikaango kizito cha kata katwa wabaki watano,Kumkomela nyani gilani u know.
Rafiki yake mpendwa kwa sasa ni Abdulahman Kinana


0 comments:
Post a Comment