Thursday, July 9, 2015

Clouds Fm redio ya kwanza nchini Tanzania kuhuzunika kifo  cha msikilizaji wa vipindi vyao.Frank amekuwa shabiki na msikilizaji wa vipindi mbalimbali vya redio hiyo na kushiriki kwa kupiga simu na kutuma ujumbe mfupi,Amefariki kwa ugonjwa wa malaria,Redio hiyo kwa kujali kifo hicho imeonesha masikitiko makubwa.Haijawahi tokea Bongo redio yeyote kufanya hivyo kwa mashabiki na wasikilizaji wao.Pichani marehemu Frank akiwa na mtangazaji Da Husna wa kipindi cha leo tena,

0 comments:

Post a Comment