BUNGE LALIPUKA KWA SHANGWE.
Katika hotuba ya rais jioni ya leo amemshukuru waziri mstahafu Edward Lowasa kwakumsaidi katika uongozi wake.Ndipo bunge likalipuka kwa shagwe wakimshangilia mgombea huyo wa urais.Edward Lowasa kwa heshima na tahadhima akainuka kuonesha heshima kwa rais na wabunge kwa kutambua mchango wake kwenye uongozi wa awamu ya nne.

0 comments:
Post a Comment