Pasua anga! Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’ amefanyiwa kufuru ya bonge la pati na msanii mwenzake kutoka
nchini Nigeria, Kingsley Chinweike Okonkwo ‘KCEE’ Ijumaa Wikienda lina
ubuyu kamili.Kwa mujibu wa chanzo cha
karibu kilichosafiri na staa huyo ambaye yupo nchini humo kwa ziara yake
inayofahamika kama ‘Nana Tour’, tangu Diamond alipofika siku ya kwanza
akiwa na mameneja wake, Salam, Babu Tale, DJ wake aitwaye Romy Jones na
wengine, mastaa kibao wakubwa walikuwa wakihitaji kuwa wenyeji wake.
“Jamaa
ana uhusiano mzuri sana na mastaa wa Nigeria. Kuna ambao ameshafanya
nao kazi kama Yemi Alade, Tiwa Savage, Bracket, Iyanya, KCEE na P Square
(bado haijatoka). “Pia wapo wengine kibao wanaotaka kufanya naye kazi
hivyo wanamuwinda.
0 comments:
Post a Comment