Posted by Williammalecela.com on Sunday, July 05, 2015
V Money mwimbaji wa kike mwenye radha na vionjo vya pekee kwenye muziki wa bongo fleva,Yupo nchini Nigeria na Diamond Platnum kwenye utoaji tuzo za African Mama Award ambapo wote wapo kwenye vipengele vyakushindanishwa.Leo amepiga bata ndefu down town Lagos na mwanamuziki pacha wa Psqure.
0 comments:
Post a Comment