Zitto Kambwe umetoa orodha ya watu walioficha mabilioni nchini Uswiss cha ajabu na kushangaza wahusika ni watu wenye asili ya kiarabu na kihindi.Maongezi yake yalidai ni viongozi wa umma,anaitaji serikali ichunguze na iseme fedha ni za umma au zao binafsi.
0 comments:
Post a Comment