"Kama taarifa hii ni ya ukweli basi hakuna msafi Ndani ya CCM
Anayedhamini kahongwa na Anayedhaminiwa kahonga
Halmashauri kuu imehongwa na mkutano mkuu umehongwa.
Yaani hiki ni chama cha wala Rushwa na watoa Rushwa"

0 comments:
Post a Comment