Staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’.
STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ amefunguka na kuweka wazi kuwa kamwe hajawahi kuionesha bastola yake kwa makusudi au kutafuta sifa.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda alisema inapotokea bastola yake ikaonekana hadharani huwa ni bahati mbaya sana na kuomba watu wasimfikirie vibaya.“Niko makini sana kuhakikisha siitumii vibaya na hujitahidi sana kuificha, najielewa ndiyo maana nilipewa,” alisema Ray.
0 comments:
Post a Comment