Monday, August 10, 2015

Morning Guys show me your friends nitakuambia who you are I mean ndege wa rangi moja huwa tunaruka pamoja na chagua marafiki zako kwa umakini sana cause 80% ya Furaha yako inategemea umezungukwa na Nani..guys kwenye hilo hakuna excuses ni FACT of life huna pa kutokea unafuatana na Rafiki Muuza unga absolutely 100% na wewe ni muuza unga unafuatana na Rafiki jambazi na wewe ni jambazi tu 100% hata useme nini ni haki ya public kukuhukumu kama rafiki yako huna cha kujitetea na
kama una rafiki anayetukana watu na wewe unahusika pia na ni haki ya public kukuhukumu kwamba unamtuma tena kwa 100%..ni kawaida yetu binadam linapotokea tatizo kutafuta sababu au wa kumlaumu sasa kama muhusika anafanya mambo ambayo public inayaona kuwa ni makubwa kuliko size yake ni wajibu wetu public kutafuta huyu muhusika anajiamini nini?..ndipo sasa linapotajwa jina lako wewe rafiki yake au mshirika wake na jina lako in kubwa so it fits the bill kuwa kumbe anatumwa na yule and then unaanza kulalamika unaonewa unaenda sehemu kutafuta mambo yako unakataliwa upo serikalini au sehemu ya kazi unatakiwa kuongezwa Cheo hupewi ukiuliza sababu hazieleweki kumbe umesahau kuwa una rafiki mjinga anayekuponza now unaanza kulia lia kila mahali na kuanza kulaumu watu kwa nini hawakuelewi kwamba rafiki yako ni binadam huru na ni mtumzima mwenye haki za kuwa na mawazo yake huru hahaha WAFWA mazafantazz NI WEWE NDIYE UNAYEMTUMA baang...binafsi sina marafiki wenye matatizo kama hayo NEVER Furaha yangu na Maisha yangu siwezi hata siku moja kuruhusu kuharibiwa na Rafiki mjinga I am poor lakini very happy creature of God kwa sababu siishi kwa Bahati mbaya NINAPANGA NA KUCHAGUA Maisha yangu sipangiwi na MTU wala Rafiki kuna part ya MUNGU in my life ambayo sina control nayo and kuna my part hiyo sina Compromise na anybody it is my life sina muda wa kuanza kujitetea kuhusu MARAFIKI wajinga NO WAY! GUYS watafakari waliokuzunguka JE MNAFANANA? kama vipi WACHANA NOW tena waambie ukweli kuwa HATUFANANI so hatuwezi kuwa karibu Mimi huwa ninawambia gademu MBURULAZZZ STAY AWAY FROM ME mazafantazz HATUFANANI! ASUBUHI NJEMA! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment