Tuesday, August 4, 2015



Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Singida Msindai akikabibdhiwa rasmi kadi ya Chadema sasa hivi live!!


Kati kati Freddy Lowassa mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Lowasa.


Wachungaji maarufu sana hapa mjini Kakobe kushoto na Gwajima kulia live at Mliman City




Mgombea mwenza wa Urais Bwana Duni, atagombea urais na Lowasa.





0 comments:

Post a Comment