"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi
na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha
bendera ya Chadema/UKAWA,
ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA

0 comments:
Post a Comment