Tuesday, August 4, 2015

Habari za Hivi Punde!
 

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA unaoendelea Mlimani City Wamekubaliana Kwa Asilimia 100 Kuwa Ndugu Edward Lowassa kuwa mgombea Urais wa chama hicho na UKAWA kwa ujumla. Pia umeridhia Ndg Juma Duni Haji kuwa tokea CUF kuwa Mgombea Mwenza akilazimika kuwa na uachama wa CHADEMA kutimiza hitaji la Kikatiba!

0 comments:

Post a Comment