Thursday, August 6, 2015

Aliyewahi kuwa Mbunge wa kyela na baadae Mkuu wa mkoa wa Mbeya Ndugu. John Mwakipesile amekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na CHADEMA leo hii.

0 comments:

Post a Comment