Posted by Williammalecela.com on Friday, August 14, 2015
Mr.
Paul Matemu katibu wa fedha na mchumi wa Ccm mkoa wa Kilimanjaro na Mr.
Fredrick Mushi Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kilimanjaro. Wamejiuzulu
nyadhifa zao ndani ya chama kwa kutoridhishwa na utendaji mbovu wa CCm.
Na kujiunga rasmi na CHADEMA. Wakiungwa mkono na wanachama 200.
0 comments:
Post a Comment