Friday, August 14, 2015

  

Huu ni baadhi ya Ustaarabu wa Kizungu niliojifunza kwa kukaa sana na Wazungu yaani White Man Civilization like .....SIWEZI KUPITA STOP SIGN WALA RED LIGHT ninapoendesha Gari the fact of life ni kwamba kama umezoea kupita pita hizi signs barabarani bila kujali hata in your life utafanya the same na for sure Maisha yako yatakuwa hovyo hovyo hayana mpangilio cause hujui when the right time to start na the right time to stop..siendi nyumba ya mtu yoyote unless ninamuamini sana kuwa my close friend na hata nikiamua kwenda ni mpaka nimpigie simu mapema sana ama sivyo siendi Nyumba ya MTU na sipendi pia watu waje kwangu hovyo hovyo inapunguza sana maneno maneno na un necessary nonsense...Mbebez wa kizungu anaweza kukuruhusu mpaka ukamvua nguo and then anakuambia Stop I changed my mind now usiposikia anakuitia Polisi WAFWA ni her
word against yours unashitakiwa kwa kubaka jela Maisha haihitaji shahidi neno lake linatosha hapa bongo Mbebezz anaweza kukwambia hataki kumbe anataka no way mpaka aseme na yeye anataka kama vipi HAPANA...Kama hatufanani kwa akili na tabia nikigundua nitakuambia live in your face kuwa please hatufanani so back off ..Sikopeshi MTU anything cause ni njia rahisi sana ya kuharibu mahusiano na MARAFIKI nikitaka kukopa naenda Benki...Sipendi kuongelea habari bila FACTS wala EVIDENCE na iitokea nikagundua baadaye kuwa nilichosema kina kasoro nitarudi na kusema kwamba nilikosea UKWELI ni huu hapa...siwezi kufanya kitu chochote ambacho siwezi Kuki justify mbele ya wenye AKILI KUBWAZZ na wakanielewa na kukubali kwamba ni sawa...ninaogopa sana ujinga I mean ninamuogopa sana binadam mjinga hajijui kuwa ni mjinga anajifanya ana akili lakini mjinga naogopa sana sana binadam wa aina hii cause ndio chanzo cha all the confusion katika jamii yetu ni binadam wajinga wasiojitambua kuwa ni wajinga unaliona kabisa jitu ni mburulazzaa lakini hasikii ndio maana Nina block wajinga wengi sana hapa at my Instagram cause huwa wananichefua sana linaandika ujinga halafu linajifanya linajua mazafantazzz BLOCK....now guys haya ni machache na ni baadhi tu ila ukiyaweza kuyaishi yatakupunguzia stress nyingi za kujitakia! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment