Posted by Williammalecela.com on Friday, August 21, 2015
Mgombea
ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas
Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na kunyang'anywa fomu
zake za ubunge.
Nimezungumza na mwenezi wa jimbo hilo na kuthibitisha hilo lakini pia simu ya mgombea haipatikani.
Nimeongea pia na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha hili.
0 comments:
Post a Comment