Friday, August 21, 2015

Baada ya kusafishiwa njia na barabara zetu na genge la UKAWA na umati wao wa wanywa viroba sasa kwa mbwembwe kubwa, jembe letu Magufuli kesho atazindua kampeni zake. Wafuatao mnakaribishwa sana:-
a. wale wote waopenda amani.
b. wale wote wanaochukia rushwa kwa vitendo sio kama CDM ambao ni wasanii.
c. wale wote wapinga mafisadi na hasa huyu bwana anayeitwa lowasa.
d. wale wote wanaopinga ukaskazini na mbinu zao za kutaka kutuchagulia viongozi.
e. wale wote wanaopinga vyama vya kifamilia kama CDM.
f. wakinamama wote. kwani kwa mara ya kwanza Tanzania itapata makamu mwanamke.
g. wale wote waliofadika na sera za CCM kwenye kilimo, elimu, viwanda, ujasiriamali n.k.
h. wale wote ambao wanapinga usanii waliochezewa na CDM katika mchakato wa kutafuta mgombea urais.
i. wale wote wenye kadi za kupigia kura.
j. wale wote wanaopinga vyama vya kikanda.

Wafuatao HATUWAKARIBISHI na HATUWATAKI kwenye shughuli yetu.

a. wale waywa viroba asubuhi na mchana kama tulivyowaona kwenye msafara wa fisadi lowasa.
b. wale bodaboda wanaopewa elfu tatu ili waje kwenye mikutano ya siasa.
c. wale wasiojitambua na wafuatao mikumbo kama wengi wa members wa JF.
d. mashoga kama wa chama flani.
e. wanaume kama mabinti kama wa chama flani.
f. wale wanaopenda kushangaa watu kama wanavyoenda kumshangaa lowasa, na kumzugaa kama wanampenda.
g. wale wasiokuwa na kadi zakupigia kura.

Haya kesho jamani tuwe pamoja na yale mavazi yetu ya mabingwa kama YANGA au BRAZIL. HAPA NI KAZI TU.

0 comments:

Post a Comment