Tuesday, August 4, 2015

Huku wakiwa wameridhia Dr Slaa kupumzika kwa sasa,habari zinazotufikia chumba cha habari ni kuwa mfuasi wa Lowasa Mgana Msindai ambaye ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida
nae ametambulishwa muda huu kwenye mkutano wa baraza kuu la Chadema!

0 comments:

Post a Comment