Tuesday, August 4, 2015

Mh. Halima Bulembo Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambaye pia ni mtoto wa Mwenyekiti wa WAZAZI/CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu Mh. Bulembo mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kura za maoni Ubunge wa Viti maalum UVCCM Mkoa wa Kagera, baada ya kuwashinda wapinzani wake kwa kura 32, akifuatiwa na mshindi wa pili kura 4 na wa tatu kura 3.

Wajumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa from left:- Zainabu + Le Mutuz Nation + Halima Bulembo + Seky live at Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Mh. Halima Bulembo

0 comments:

Post a Comment