Posted by Williammalecela.com on Sunday, August 23, 2015

SHINDANO la kusaka vipaji lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents
(TMT) 2015 limemalizika baada ya washiriki 10 waliokuwa wamebakia
kuoneshana umwamba na hatimae bingwa kapatikana .
nae sio nwengine ni Dennis Louis(young kanumba)

0 comments:
Post a Comment