Kama kijana ktk taifa hili,katika chaguzi zote nilizowahi kuzifanyia maamuzi toka nitimize umri sahihi wa kupiga kura Sijawahi kupoteza kura yangu kwa kuwachagua#madiwani #mbunge na #raisi kwa kupeleka kura yangu #CCM
Ni matumaini yangu hata #october25 sitaharibu na kupoteza kura yangu kwa kukichagua chama cha mapinduzi kuiongoza Tanzania
Raisi wangu ni bora kuliko wote,MWADILIFU,MCHAPAKAZI, MKEMEA RUSHWA NA MCHUKIA WAVIVU....NCHI INAHITAJI KIONGOZI HUYU
Mtanzania usiharibu kura yako chagua CCM
0 comments:
Post a Comment