Wananchi wa eneo la Misugusugu Wilayani Kibaha Mkoani Pwani hii leo
wamefunga barabara baada ya Wanafunzi wawili kugongwa na gari la Jeshi
la Polisi na kupelekea kifo cha Mwanafunzi Mmoja
Akiongea na Mtandao
huu, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Jaffary Mohammed amesema
baada ya tukio hilo Wanachi walifunga barabara kutokana na hasira ya
tukio lakini jeshi la Polisi limetuliza hali na linamshikilia Dereva wa
gari hilo kwa uchunguzi zaidi.
0 comments:
Post a Comment