Diamond Platnum mapema leo akipokelewa na mashabiki nchini Kenya.Atatumbuiza usiku huu kwenye Mtvmama after party baada ya kushinda tuzo za mtumbuizaji bora siku kadhaa nchini South Africa tuzo iliyofanikiwa kufunga midomo watu wote waliokuwa wakichichea bifu kati yake na msanii Davido wa Nigeria.
0 comments:
Post a Comment