Revocatus Mlowolaama
kweli ccm hakuna chama tena! Yaani walokubuhu nanihiii ndo wamekuwa
wakukipa chama kick?? Hakuna hoja tena?? Ni afadhal mwaka huu munapotea
mazima.
Tabrey NyambokaTwihuvila Faith Nyimbo
achana nao wachafu wa nafsi hao madam yuko Juuu bibi inahusuu we
mlowola mzima au kusema wenzio tuacheni na chama letu kila mtu ana mamuz
yake ccm mbele kwa mbele no plobrem ukuuu
Revocatus MlowolaTabrey
Nyamboka hata wewe mwenyewe nafsi inakusuta! Hamna hoja nyie sasa....si
watu wa siasa safi tena! Mumelidumaza taifa na munalazimisha kuendelea
kubaki madarakan
0 comments:
Post a Comment