Tuesday, August 25, 2015

MADHARA YA MAIGIZO YA LOWASSA
Leo msanii kaendeleza usanii wake kama kawaida. Ila haya maigizo kwa mtu ambaye si mpumbavu au Lofa anaweza atagundua kwamba Lowassa uwezo wake wa kufikiri unazidi kupungua.

Si kila wazo analoletewa mezani analikubali kitendo cha yeye kupanda gari la abiria leo kumendelea kuonyesha uwezo wake mdogo si kisiasa tu bali hata kimaigizo
Nadiriki kusema huyu jamaa ana zaidi ya miaka 20 haijawahi kupanda basi ila leo katafuta kick.
Ona sasa kushindwa kuteremka lazma mtu amshike

0 comments:

Post a Comment