Wednesday, August 19, 2015

Mkuu Mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla akagua upanuzi wa uwanja. Aagiza uwanja wa Kia usiwe njia ya kupitisha madawa ya kulevya na utoroshaji nyara za Serikali.

Mh, Makalla akiongea na Watendaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA ambapo aliwaasa kuhakikisha Uwanja huo hautumiki tena kama njia ya kupitishia madawa ya kulevya na kuibia nyara za Serikali. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Hai Mh. Mtaka.







0 comments:

Post a Comment