Rais mstaafu BENJAMINI MKAPA Amewaita "WAPINZANI WAPUMBAVU" WLeo wakati wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Jangwani leoRais
Mstaafu wa awamu ya tatu mh. Benjamini William Mkapa amesema
kuwa wapinzani wanaodai vyama vyao ni vya ukombozi ni
Wapumbavu na malofa kwa kuwa watanzania walikwisha kombolewa
na
chama cha ASP na TANU na kwamba chama pekee cha ukombozi
kilichobaki hivi sasa ni CCM pekee.
Mkapa
ametoa kauli hiyo leo katika viwanja vya Jangwani wakati
akimnadi mgombea urais wa CCM, Mh John Pombe Magufuli. MTAZAME
HAPA:

You know it takes one to know one
ReplyDelete