Sunday, August 23, 2015


Rais mstaafu BENJAMINI  MKAPA Amewaita "WAPINZANI WAPUMBAVU" WLeo wakati wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Jangwani leoRais  Mstaafu  wa  awamu  ya  tatu  mh. Benjamini  William  Mkapa  amesema  kuwa  wapinzani  wanaodai  vyama  vyao  ni  vya  ukombozi  ni  Wapumbavu  na  malofa  kwa  kuwa  watanzania  walikwisha  kombolewa
 na  chama  cha  ASP  na  TANU  na  kwamba  chama  pekee  cha  ukombozi  kilichobaki  hivi  sasa  ni  CCM  pekee.

Mkapa  ametoa  kauli  hiyo  leo  katika  viwanja  vya  Jangwani  wakati  akimnadi  mgombea  urais  wa  CCM, Mh  John Pombe  Magufuli. MTAZAME HAPA:

1 comment: