![]() |
"Fani ya Edward Ngoyai Lowasa ni usanii lakini usanii wake kwa leo umekwenda mbali zaidi baada ya kuhadaa watanzania. Vituo cha mafuta ktk jiji la Dar es salaam vilifulikwa na boda boda tayari kujaziwa mafuta bure kwa gharama za msanii Lowassa na kuwalipa posho in cash bila mkono ili wahamasike kuingia kwenye mkumbo wa maandamano yake. Hii nchi inakokwenda watanzania wanafanywa km kopo la mikojo linavyotumika, hivi kweli watu na akili zao timamu wanaacha shughuli zao za kujiingizia kipato na kutafuta fedha za haraka haraka hivyo kweli kutoka kwa mtu huyu mloo wa madaraka. Hizo fedha anazowapa E. L mnajua zitarudishwa kwa njia gani? au mwisho wa siku majuto ni majukuu na maamzi ya miaka mitano mlikwisha fanya jitafakari chukua hatua mapema kabla cku haijawadia. Nafikiri ifike muda watu wafanyiwe cancelling ya akili na mitazamo yao km iko timamu au ni viroba ndivyo vinafanya kazi ktk akili zenu." |
- Glorious Luoga, Damian Kichanta, Masatu Maganga and 999 others like this.
- 1 share
- Daniel J Mwita hilo nalo neno
- Chacha Nkombe Kwa takwim inaonyesha unaongoza kupost pumba fala wewe
- Mahende Juma Mtawala We chacha mbona matus
- Sebastian Sabe-Double S Viroba vinafanya kazi ngoja nikuache coz nahic siongei na mtu ziliyetimia
- Chacha Nkombe Kwakuwa kilasiku anatuma mambo ambayo. Hayana ukwel
- Sebastian Sabe-Double S Hata km kusoma ujui picha huoni kweli wa kuburuzwa ni wengi kwa nini ulazimishe nyekundu kuwa nyeupe wakati unaona na kutizama ni nyekundu utaburuzwa miaka nenda rudi.
- Bonnie Joseph hivi mbona sioni lowasa hapo akiwapa hela boda boda ila naona boda boda zimepaki sheli tu ......... au siku hizi ukipaki sheli unakuwa umepewa hela na lowasa .... jipangen kwa point tanzania ya leo sio ya miaka ishirin iliyopita
- Sebastian Sabe-Double S We ukienda kuchukua mshahara wako bank mwajiri wako unamkuta bank au. Cyo kila jambo atalifanya kwa mikono yake Lowassa hayuko mwenyewe ktk hili wapo watu wanaofanya kazi kwa niaba.
- Thomas Makori Ww sabe watanzania wanahitaji mabadiliko najua ww ni CCM ni lazima umusapoti uncle hiyo ya leo dar imezihilisha CCM hata kama wakieba kura, wataiba paka wachoke, ukawa ushindi pale ila sabe Charles yeye yuko chadema Safi sana Charles.
- Bonnie Joseph mweken sasa huyo mtu anayefanya kwa niaba sio kuweka vitu kwa nadharia au kwakuhisi tu bila kuwa na utafiti wa kina ....naangalia tu hapa yakianza yale mabasi ya kutoa watu vijijin wamevaa sare sie hatuongei tutakuwa kimya
- Bonnie Joseph inashangaza kuona mtu anaona boda boda wamenunuliwa unaacha kuona yale mabilion yaliyopigwa na wale masela wenu .....anzia huko ndo uje kwenye boda boda
- Robert Mokeha Mogitare Hivi mlitegemea mtu anayebeba mabegi ya Mbunge aseme nini jamani zaidi ya kuegemea upande unaompendeza Boss wake. Hakuna haja ya kubishana sana ngoja ifike October mbivu na mbichi zitajulikana. Siasa za Mwaka huu ni tofauti sana na miaka mingine, ni vita kati ya mfumo mbovu na wananchi wanaotaka kuukomesha huo mfumo dhalimu.
- Sebastian Sabe-Double S Angalia channel ten H. Polepole anavyompeleka Mch. Peter Msigwa na maoni ya wananchi ndiyo ulete story zako za kiduanzi na kutaja status za watu we Thomas Makori
- Sebastian Sabe-Double S E.L yeye alipiga ngapi hayo mabilion au ndiyo yanafanya kazi za kununuwa watu na kuwanywesha viroba.
- Bonnie Joseph kwanini hamkumchukulia hatua kama alipiga mabilion hayo ???? unaskia SS watu wana hela ya mboga mnataka warudi kuchukua ya ugali ??
- Thomas Makori Ww kijana waleo na CCM wapi na wapi Chama cha wazee amuka usifagilie CCM Kwa sababu ww sabe najua mheshimiwa wetu wa serengeti yeye yuko vizuri ila CCM imechoka ndugu hata lipumba alisema CCM yang'ayang'a kifo cha mende
- Sebastian Sabe-Double S Cna muda wakukujibu nikikujibu nakupa umaarufu fanya yako huna maana kwangu.
Ujipambui na ujui unachotetea ni bora liende tu pole sana. - Maisha Dunia Ngumu Jr. haaaaaaa haaaaa kama mtu ana nia ya kwenda na hana usafiri na tatizo ni mafuta na kuna msaada wa mafuta ubaya uko wapi? mbona ccm hawatowi mafuta kwa mashabiki wake lakini wanatoa usafiri wa malori bure? watu jamani
- Marwa Isack Kati ya mijadala ambayo imekuwa ya hovyo ni huu ulioisha hivi punde Channel tena maana maada husika haikujadiliwa kabisa
- Marwa Isack Na kweli wajinga ndio waliowao maana hawa watanzania nao waliacha kazi wakaenda kumsindikiza mgombea wa CCM na leo tena wameacha kazi wameenda kumsindikiza mgombea wa UKAWA
- Marwa Isack Me nawapongeza hao bodaboda maana walikuwa kazini wamewekewa mafuta na kupewa posho bila ya kuanza kugombania na kubembeleza abiria ambao nao wamechoka hawana pesa
- Emacy Magori Furahi kwa cku moja umia kwa miaka mitano
- Nelly Thug Usipnde kupost jmbo amblo huna uhakika nalo ww ni mzm
- Ngonyani Faraji njaa mbaya sana
- Ephraim Msigwa Issue sio chadema/lowasa people wan see changes mzee..that will develop respect in Tanzania politics
- Chacha Nkombe Mbeba mikoba na mfuta viatu Yeye hana sauti jamani mwacheni Yeye yao hayaoni
- Scola Mantage pipooooooos
- Scola Mantage mbona ccm waliandamana?mumuache anko edo wetu.
- Moses Stewart Kaluwa 0AA
L - Maro Kisaka Mbona ww sabe mnadnganya na kmpa sifa mjomba wko hta kwa sifa ambzohzmstahir?
- Shanifa Salum Kweli wamepewa hela mi kuna anko angu muendesha bodaboda kasema home hlo nauwakika nalooo ata nikiwapa number ake mkamuulza
- Maro Kisaka Toa namb tumlze
- Flavy Chacha Unaijua logistic ya buguruni au unabwabwaja tu Sebastian Sabe-Double S....hicho kituo unajua kilipo?
- Mahende Juma Mtawala Jaman kila mtu na haki yake huwezi kusema kwamba eti ccm ni chama cha wazee je chadema lowasa ana miaka 20? au mbowe ana miaka 18? wtz tuwe na mawazo mazuri sio masengenyo jaman duuh jpm juuu,kebwe juuu na togocho juuu
- Maro Kisaka Ndorooooobo ww
- Hassani Seushi Nawale waliotembea kwa miguu walipewa nini?... Alafu kununua watu wote wale inahitaji kuwa zaidi ya bilionare mzee Sebastian Sabe-Double S!.. Kuwapa mafuta watu wa pikipiki si mbaya coz hata CCM wanafanya... Na zaidi hukodi hata malori kubeba wafuasi wao.
- Mahende Juma Mtawala We maro mimi ndoroboooo sio rudia uone ntakavyokupa za uso au kujidai hapa ntaona kama chadema mtaichukua ikulu,na kaa ukijua chadema wakichukua nchi tutaikimbia tz
- Baraka Mafuru Nguv y umma hyo
- Maro Kisaka Utkimbia ww kma n mkmbiz lkn wngne htuwz kkmbia
- Mossy Magere Hahahhahhaa kuleni ndimu hiki kizazi jeuri
- Mahende Juma Mtawala Ahaaa nilisubiri unitukane uone ntakavyokujaza We #maro
- Maro Kisaka Hahahahaha nkutkne kwa lip mahende ww mwnyw unnijua tka enz tko pale kiska sec haina cwezag ktukna ovyo istoshe tuntkiwa tpambane kwa hoja cyo matusi
- Mahende Juma Mtawala Sasa why unaniita mi ndorobo
- Sebastian Sabe-Double S Na mtu anayepambana kwa matusi c mtu mwelewa na hana hoja ya kujenga huo ni shabiki na mtu mwenye mahaba ya chama chake hata km kikiboronga yuko radhi kutetea uovu wa viongozi wake.
- Mahende Juma Mtawala Ukweli ndo huo jamaa angu Sabe
- Michael Swedi mbonaa ccm wanatoa? akitoa EDL inakuwa ajabu? cha msingi kila mtu afanye anachopenda ila asiende kinyume cha sheria.
ccm hoyeeeeee - Sebastian Sabe-Double S Bora niwe mbeba mikoba kuliko kuwa mshika pembe kila kitu yes boss.
Na ukiona mtu anaishiwa hoja na kushindwa kujibu hoja matokeo yake ndiyo hayo Nyambeya Josephat K.anayokimbilia hayana uzito na mcng ya hoja iliyoko mezani.
Hivyo kwa upepo huo na elimu yake ni hopeless kbs na ndiyo maana wanakuwa na akili za kushikiwa. - Maroko Chacha Take you time to discuss issues and not a person usiwe na tabia za madereva wa wabunge wakiwekewa mafuta wewe unapata taabu gani
- Sebastian Sabe-Double S Na we nikuulize swali nitajie ubaya wa Kebwe huyo huyo ambaye kwako ukimsikia unawashwa kila kona ya mwili wako.
Kwa mtu ziliye timia anaweza tenganisha mambo ktk post yangu nimemwongelea E.L sijamwongelea mb wa Serengeti sasa cjui nikutaka kuibadirisha mada ndani kwa ndani au ni mada kuzaa mada ndani ya mada jipange vyema ili kuepuka kukimbia mada Nyambeya Josephat K. - Leutenant Maro van Kebwe Laiti kama wanaharakati wangekuwa wakitumia maneno ya kashfa democracy isingekuwepo
- Sebastian Sabe-Double S Sawa mshika pembe na mwosha miguu nimekupata vyema Nyambeya Josephat K.endelea na kibarua chako kisije ota nyasi.
- Mahende Juma Mtawala Lakni we nyambeya wewe ni mkorofi sana kwa nini lakn
- Mahende Juma Mtawala Jaman lakn kwa nin mnakuwa hivyo ndugu zangu
- Sebastian Sabe-Double S Achana naye cna muda na watu wa design hiyo najua yeye kaajiriwa na UKAWA kufanya kazi kwenye hizi social media hizi ndiyo kikosi kazi cha UKAWA kutukana watu na kuzusha na kupakaza issue za uongo humu mitandaoni so acha ajitume ni moja ya kazi yake kibarua kisije ota nyasi.
- Cendy Da Navigator nikweli broo najua vichwa panzi watadis ur post lakini ndo ukwel
- Mahende Juma Mtawala Ha ha haaa we cendy acha bas kunichekesha kwamba vichwa panz au sio duuuh,jpm juuuuu dr kebwe juuuu na togocho juuuuu
- Salum Kheri Hata kiswahili hujui,mloo wa madaraka ndio nn?
Zai Mtiganzi Tatizo
kubwa la wengine elimu pia upeo mdogo kila jambo anabuni, ni nani aweza
lipa watu wote hawa? Endelea hivyo hivyo na ujinga wako utakuja stuka
asubuhi
































0 comments:
Post a Comment