- Cosma Hansen, Janety Mosses, Teddy Oscar Kasubi and 707 others like this.
- 2 shares
- Emmanuel Madega Magufuli ndio mpango mzima..
- Paul Samson TWENDE NA MAKUNGUFULI
- Merina Nelson Kamwaya Magufuli tuuuuu
- Edna Boimanda Unajuwa ni sawa mbabe, nampenda mmpia mbabe kwa yangu, je tuwe makini kwenye ubabe, unatumia muda kidogo kufikiri uwo ubabe wako, au ni kuchukuwa ubabe hspo kwa hapo, hii ndio hatari
- Justin James Tofauti yao ni kua lowasa ana magrop mnaita mtandao ambayo adi sasa ivi wanatumia pesa nyingi aingie ikulu alafu itakuaje?pili nimtoa lushwa na kama nimto lushwa jua nimpokea lushwa mtu waivyo unafikili itakuaje.tatu ni mtu wa visasi ya mswali kwaiyo atatumia mda mwigi kukomhana?nne kama aliweza kuiba besa nyingi akiwa waziri akiwa ikulu itakuje .sita ona pesa ngapi katumia kuitafuta ikulu unafikili kama zake atakubali zipotee ivyo na kama anazikopa atazilipa vipi akifika ikilu.lowasa anacheza mchezo mchafu wakuta kuwatumia vijana kwa njia ya kuwalaghai na ajila na kutunia upande mwingine wa dini kwa kusema sasa ni wakati wetu,uo wote ni usaniii ayo yote mbona akuyafanya wakati alikua waziri mkuu waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa serikali .wajinga ndiyo wali,,,,,,,,,,
- Justin James Ugojwa wa mrema na mtikila unamnyemelea lowasa uzuri ni kua awaokoti makopo ngoja uone lowasa baada ya kuikosa ikulu.
- Rahma Mkelemi Makundi yake yatamponza
- Zubeda Kitwara Magufuri
- Sophia Mussa Sugar Mwevi Magufuli
- Shanyce Mwekambi Alimselema alija J.P. Magufuli. CCM oyeeeee.
- Gabriel Ntengo kitu pombeee
- Sophia Mfaume Kizigo Magufuli
- Cosma Hansen Hapana Chezea MAGUFULI ..MPANGO MZIMA !!!!!!
- Vio Mambo Ukwel uko waz hata kpofu anackia hata kiziwa anaona achen hata mtt wachekechea hamna magrp hamna chchte n mapnz tu na mazur ya mtu alyofanya,LOWASA YUKO VZUR NA WATANZANIA TULIOAMKA TUNAMPENDA HASWA LABDA KWA WACHACHE WENYE MASLAHI NA CHAMA CHENU MTAONA UMUHINU WA ICHO CHAMA NA MGOMBEA WENU LKN KWA CC WENGNE DAH HAPANA AISEE
Thomas Turuka A k a lukera, magufuli anaubabe wa kijinga huwezi kuwaambia watu wa kigamboni waogelee mbabe ni magufuli.


















0 comments:
Post a Comment