Wednesday, September 2, 2015

  1. JOHN MAGUFULI MTWARA-Msiwe na wasiwasi wowote uwe CCM, CHADEMA,Mkristo,mpagani,Muislamu kila mwanafunzi hakuna kulipa karo#MillardAyoUPDATES

  2. JOHN MAGUFULI MTWARA-Tumepanga kuanzia mwakani wanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha 4 hakuna kulipa karo

  3. JOHN MAGUFULI MTWARA-Mtu unalima korosho bado unahangaika kuuza mazao ili kupata hela,kwanza nitaimarisha soko la Korosho

  4. JOHN MAGUFULI MTWARA-Ndio maana nimeomba Urais ili nishughulike na hao kunguni wadogo, Watanzania waweze kuishi vizuri

  5. JOHN MAGUFULI MTWARA-Wapo wanaosema CCM imechoka,jamani ukiwa na kitanda kina kunguni, usikichome kitanda wachome kunguni

  6. JOHN MAGUFULI MTWARA-Mara baada ya kuapishwa, Nitaanzisha mahakama maalum ya majizi na mafisadi ili wafunge haraka haraka

  7. JOHN MAGUFULI MTWARA-Wapo watu ndani ya Serikali ambao kazi yao ni kuiba iba tuu, wataipata mara baada ya mimi kuapishwa

  8. JOHN MAGUFULI MTWARA-Makusanyo ya fedha yameanza kuonekana, yamekaribia bilioni 900,nataka kipindi changu yawe mara mbili

  9. JOHN MAGUFULI MTWARA-Niwaombe wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda, waje wawekeze hapa Mtwara, tutamaliza tatizo la ajira

0 comments:

Post a Comment