Wednesday, September 2, 2015


"Kama nilimsikiliza vizuri Dr. SLAA jana alisema kuwa LOWASA ana hisa nyingi kwenye MAKAMPUNI ambazo hajaziandika TUME YA MAADILI, Kama ni kweli Kwa nchi zilizo endelea wananchi wange andamana kuishitaki TUME YA MAADILI kwa kutotimiza wajibu wao ipasavyo. Hapa ndipo tutakapo ona umuhimu wa katiba ya wananchi maana hata tume yenyewe ya maadili itakuwa HURU zaidi! Baada ya uchaguzi mkuu kuna kazi kubwa ya kufanya!"

0 comments:

Post a Comment