Tangu
mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald
Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA
Ghafla
Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona
anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais
wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake
kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa
kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"
kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"
Pigo kubwa
kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia
kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature.
Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia
umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe
kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na
mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"
Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

baba subiri kutukanwa na UKAWA hakuna watu kule kuna waliozidiwa na stress na zitishia kwako ..pole...na Hongera hii ni demokrasia na sio kufuata kitu/mtu au kusukumwa kama gari bovu/bendera fuata upepo...ANGALIA SERA HUARIDHIKA ANGALIA PANAPORIDHISHA ndio siasa safi sio siasa za matusi na kulazimishana.
ReplyDelete