Tuesday, September 22, 2015

Shirika lisilo la kiserikali la Twaweza kuanzia saa 4 asubuhi watatangaza matokeo ya utafti wao wa hali ya kisiasa nchini .i Maria Sarungi atakuwa mmoja wa wazungumzaji wakuu,pamoja nae prof Mbago wa UDSM atakuwa mzungumzaji mkuu pia.
2012 Udiwani asilimia 60 wangepigia CCM
2015 kwenye udiwani asilimia 60 CHADEMA 24% CUF 2% ACT 1% UKAWA 3%

Mwaka 2014 Kwenye ubunge 47% 23% 4%

Mwaka 2015 kwenye ubunge asilimia 60 wangepigia CCM, CHADEMA 26%

Kwenye urais mwaka 2014 wangeipigia kura CCM asilimia 51 na CHADEMA asilimia 23

2015 kwenye urais 66% wangepigia kura CCM, 22% CHADEMA, UKAWA 3%

Kama uchaguzi ungefanyika leo asilimia 65% walisema Magufuli, 25% walisema Lowassa.
Magufuli anapendwa zaidi vijijini na Lowassa vijijini japo kote Magufuli anaongoza, kadri watu wanavyokuwa wazee wanamchagua Magufuli na Lowassa kwa vijana zaidi.

Zaidi ya asilimia 60 ya wasiosoma wako kwa Magufuli, nusu ya wasomi wako kwa Magufuli.

Kwanini utampigia kura mgombea wako, kwa Magufuli ni kwa sababu ni mchapakazi karibu wote na kwa Lowassa asilimia kubwa sababu anaweza kuleta mabadiliko.

0 comments:

Post a Comment