Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama chake kina watu watano wenye uwezo wa kiuchumi wanaoweza kukisaidia chama hicho kuendesha shughuli zake za kampeni, ikiwa ni siku 32 kabla ya wananchi kupiga kura Oktoba 25.
Lakini mwenyekiti huyo wa Chadema amesema watu hao hawataki kutangazwa majina yao kutokana na kuhofia kufuatiliwa na vyombo vya dola, akisema kitendo hicho ni cha kushangaza kwa nchi huru kama Tanzania.
0 comments:
Post a Comment