
Kama
umekua ukifuatilia akaunti za Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari
tangu mtoto wao Tiffah azaliwe utakua umekutana na picha nusu ambayo
anaonekana mtoto wao huyo na sehemu kubwa hua ni kuanzia kwenye kidevu
kushuka chini.
tifHii imekua ni style nyingine ya mastaa wetu kadhaa
kuchukua mfumo huu wa kutowapost au kuwaonyesha watoto wao hadi umri
fulani ufike,Diamond Platnumz leo ametaja siku ambayo mtoto wao huyo
ataonekana sura kwa wale ambao bado hawajapata nafasi ya kumuona
0 comments:
Post a Comment