Monday, September 7, 2015







Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shasha, ameanza kampeni rasmi ya ya Umoja huo kukitafutia Chama Cha Mapinduzi na Magufuli kura za kishindo kwenye uchaguzi ujao, katika Siku Tatu zilizopita ameongoza umoja huo kutafuta kura Mkoani Iringa kwenye Wilaya za Iringa Vijijini, Mjini, Mufindi, Kilolo na leo alikuwa Mufindi kazi inaendelea.















0 comments:

Post a Comment