Posted by Williammalecela.com on Friday, September 04, 2015
Akihojiwa
ni kituo cha kituo cha Azam Two na Tido Mhando Dr. W. P. Slaa
alipotakiwa kujibu ni nani aliyegharimia gharama za matangazo yake pale
Serena hotel, Slaa alisema kwa nini
hakuulizwa alipokwenda USA mara
mbili bila chama kumgharimia zaidi ya Tshs 500,000 badala yake wahoji
saizi??
0 comments:
Post a Comment