Posted by Williammalecela.com on Monday, September 21, 2015
Mahakama ya Ilala, Dar imemwachia huru Emmanuel Mbasha leo Jumatatu Septemba 21, 2015 baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha kosa la ubakaji dhidi
yake.Itakumbukwa mwaka 2014 Emmanuel Mbasha ambae ni mwimbaji wa injili na mfanyabiashara alifunguliwa mashataka mawili mahakama ya Ilala kwa makosa mawili ikiwemo la ubakaji.
0 comments:
Post a Comment