September
21 2015 moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya
Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania,
Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji
yake na kesi imekuwa Mahakamani tangu mwaka 2014.
Tayari
hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam
leo, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia
kwenye Kesi hiyo.
0 comments:
Post a Comment