Mchungaji Gwajima amekua na utajiri wa mabilioni usiokuwa na chanzo sahihi cha mapato hata yeye hajui ameupataje,Hii ni kadamnasi inayo hudhuria mikutano
yake ya injili na kutoa sadaka iliyonona kwa mtumishi wa bwana.Watu wenye matatizo mbalimbali humkimbilia na kushibishwa neno la roho wa bwana aliye ndani ya mchungaji Gwajima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment