Mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savage.Lagos Nigeria
MWANAMUZIKI Tiwa Savage wa Nigeria amelalamika kwamba ujauzito alio nao hivi sasa umevuruga shepu yake hasa kutokana tumbo kujitokeza.
“Wakati wote unatamani uzae mtoto umwona na unakuwa unafurahi wakati anapojitingisha tumboni na unapofahamu kwamba sasa amelala.”Ni safari ya kufurahisha tangu ujauzito hadi mwisho wake,” aliandika.

0 comments:
Post a Comment