NI kweli kimenuka! Siku chache baada ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la
Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kujibu mapigo ya aliyekuwa Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa,
sasa kimenuka upya, Risasi Jumamosi linakupa zaidi!
Kimenuka kwa
nani? Ni kwa Emmanuel Mbasha ambaye ni mume aliyetengana na mkewe, Flora
Mbasha huku mwanaume huyo akisimamia madai yake kwamba, Gwajima
alisimamia mchakato mzima wa yeye na mkewe kutengana.
0 comments:
Post a Comment